Je kuna yeyote aliyeielewa hii picha

Hii hawa jamaa sijui walikuwa wanawaza nini
 
Hiyo picha itakuwa ni wakati wa kampeni za uchaguzi uliokuja kumpa mamlaka Nelson Mandela ya kuwa Rais wa RSA. Baada ya Mandela kutoka gerezani na watawala kuondoa ubaguzi, ulizuka ugomvi na ubaguzi wa kikabila na mapigano kati yao na ni mzee Mandela aliyesuruhisha mgogoro huo.
 
Kuna kinaitwa kwenye ulinzi wa viongozi kinaitwa Diamond circle.

Wanajipanga kama almasi kumlindaa.
 
Hapo ndiyo utajua Sanduku la Kura uwa haliheshimiwi.

Kama una heshimu Sanduku la Kura ulinzi wote huo wa nini.

Alafu utawasikia tumepata ushindi wa Kishindo.
Mwisho wa siku ulinzi kama uko Afghanistan.
Kuna mtu amesema they are ready to strike nami nikamuuliza to strike who?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…