Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Wanauziwa nembo kwa shilingi 1000 what do they use the logo for?Madaftari hayo yenye Nembo ya Shule yanauzwa kwa kiasi cha shilingi 3500 shuleni hapo, wakati daftari kama hizo ambazo hazina Nembo zinauzwa 2500 mtaani .