Kuwa sehemu ya chichiemu lazima mdomo unuke gentlemanNa hiyo ni kwa jinsia zote.
Na je,ni kweli mapenzi ni uchafu na hivyo inafaa kuvumilia uchafu, harufu mbaya na kali ya mpenzi wako hasa wakati wa kunyanduana?
Mungu Ibariki Tanzania.
Komredi Gentleman piga chini hiyo manzi inayonuka mbususu la sivyo hutakuwa na furaha kwenye haya maisha ya dhambi.Na hiyo ni kwa jinsia zote.
Na je,ni kweli mapenzi ni uchafu na hivyo inafaa kuvumilia uchafu, harufu mbaya na kali ya mpenzi wako hasa wakati wa kunyanduana?
Mungu Ibariki Tanzania.
sina manzi wa hivyo comrade,Komredi Gentleman piga chini hiyo manzi inayonuka mbususu la sivyo hutakuwa na furaha kwenye haya maisha ya dhambi.
Komredi sijawahi pata manzi wa hivyo ila nitafanya utafiti wangu na kuleta majibu siku za karibuni.sina manzi wa hivyo comrade,
hili ni swali la jumla kwa wadau wote wa ndani na nje ya JF,
ni kweli kua akinuka mdomo ni ishara huko chini patakua na harufu kali zaidi?
jikite kwenye hoja bila kuweweseka gentleman,Huyu jamaa kila akija na mada tofauti na uchawa analeta za wanawake zake wanaotoa harufu. Acha kuwachafua dada zetu, ukikutana na mtu mchafu maana yake hata wewe ni mchafu.
ElezaMbona bicarbonate na chumvi ya mawe ni bei ndogo sana na inaondoa tatzo hilo bila hata ghalama za mouthwash
Kwa tatizo la kunuka mdomo ni mabaki ya chakula yanayojiattach kwenye follicle zilizopo kooni na kutengeneza cheese like substance ambazo utoa harufu mbaya .Eleza