Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana na hili lipo wazi kabisa kunyonyesha sio kinga ya kutopata mimba hata kidogoPamekuwa na maoni mbalimbali kuhusiana na kinga kwa mwanamke kupata mimba, mojawapo ni hii ya kunyonyesha.
Swali langu ni kutaka kujua (update) njia hii na mwisho wake, saidia mwenye ufahamu tafadhari.
Kunyonyesha kinga ya kutopata mimba kwa asilimia 90-98 katika kipindi cha miezi sita baada ya kujifungua na baada ya hapo inatofautiana kati ya mtu na mtu. Sharti muhimu ni kumnyonyesha mtoto bila kumpa chakula chochote katika hiyo miezi sita na kumnyonyesha mara 7 - 12 kwa siku. hapa hutumii njia yoyote ya kupanga uzazi labda kwa hiyo asilimia walio hatari ya kushika mimba wakati huo.Hapana na hili lipo wazi kabisa kunyonyesha sio kinga ya kutopata mimba hata kidogo
labda kama mama ataamua kutumia vidonge vya majira ambavyo pia si vizuri sana
kwa hili sitakubaliana na wewe kunyonyesha sio kinga hata kidogoKunyonyesha kinga ya kutopata mimba kwa asilimia 90-98 katika kipindi cha miezi sita baada ya kujifungua na baada ya hapo inatofautiana kati ya mtu na mtu. Sharti muhimu ni kumnyonyesha mtoto bila kumpa chakula chochote katika hiyo miezi sita na kumnyonyesha mara 7 - 12 kwa siku. hapa hutumii njia yoyote ya kupanga uzazi labda kwa hiyo asilimia walio hatari ya kushika mimba wakati huo.
Nipe njia za asili (mwili) za kuzuia mimba baada ya mwanamke kujifungua.Hapana na hili lipo wazi kabisa kunyonyesha sio kinga ya kutopata mimba hata kidogo
labda kama mama ataamua kutumia vidonge vya majira ambavyo pia si vizuri sana
Pamekuwa na maoni mbalimbali kuhusiana na kinga kwa mwanamke kupata mimba, mojawapo ni hii ya kunyonyesha.
Swali langu ni kutaka kujua (update) njia hii na mwisho wake, saidia mwenye ufahamu tafadhari.
Aksante sana kwa ufafanuzi huo na umeniondolea (preempty) swali nililotaka kuuliza kwamba pana akina mama wengine hawapati hedhi wakati wa kunyonyesha. Tuendelee kuelimishana.Ni kweli njia ya unyonyeshaji(lactational amenorrhoea) ni miongoni mwa njia za kuzuia mimba kama alivyoeleza doule R,kwa nyongeza tu ni kwamba njia hii inawafaa akina mama wale ambao huwa hawapati siku zao kipindi cha kunyonyesha mtoto,ila wale ambao huendelea kupata siku zao hata wakiwa wananyonyesha watoto wao njia hii haitawafaa.
kumbuka njia hii ni effective sana kama humpatii mtoto chakula chochote tofauti na kumnyonyesha,ndo maana tahadhari kubwa sana inahitajika ikifika miezi 6 mara nyingi wengi huanza kuwapa watoto vyakula vingine.
Rich woman ameuliza inazuiaje mimba njia hii wakati hormone inayohusika na unyonyeshaji ni oxytocin? ni kweli kabisa hii ni hormone inayohusika na unnyonyeshaji. Nini kinatokea mama akinyonyesha mtoto?wakati mama anapomnyonyesha mtoto anazuia kuzalishwa kwa hormone zinazosaidia yai kupevuka(estrogen),kwa maana nyingine mimba haiwezi kushika mpaka kuwepo yai lililopevuka.kupungua kwa hormne hii ndo kunaondoa uwezekano wa kupata mimba.
Hii ni habari kwenu kinamama ambao mkinyonyesha humpati siku zenu endeleeni kumega mkate wa uzima bila hofu.
Aksante sana kwa ufafanuzi huo na umeniondolea (preempty) swali nililotaka kuuliza kwamba pana akina mama wengine hawapati hedhi wakati wa kunyonyesha. Tuendelee kuelimishana.
Ni kweli njia ya unyonyeshaji(lactational amenorrhoea) ni miongoni mwa njia za kuzuia mimba kama alivyoeleza doule R,kwa nyongeza tu ni kwamba njia hii inawafaa akina mama wale ambao huwa hawapati siku zao kipindi cha kunyonyesha mtoto,ila wale ambao huendelea kupata siku zao hata wakiwa wananyonyesha watoto wao njia hii haitawafaa.
kumbuka njia hii ni effective sana kama humpatii mtoto chakula chochote tofauti na kumnyonyesha,ndo maana tahadhari kubwa sana inahitajika ikifika miezi 6 mara nyingi wengi huanza kuwapa watoto vyakula vingine.
Rich woman ameuliza inazuiaje mimba njia hii wakati hormone inayohusika na unyonyeshaji ni oxytocin? ni kweli kabisa hii ni hormone inayohusika na unnyonyeshaji. Nini kinatokea mama akinyonyesha mtoto?wakati mama anapomnyonyesha mtoto anazuia kuzalishwa kwa hormone zinazosaidia yai kupevuka(estrogen),kwa maana nyingine mimba haiwezi kushika mpaka kuwepo yai lililopevuka.kupungua kwa hormne hii ndo kunaondoa uwezekano wa kupata mimba.
Hii ni habari kwenu kinamama ambao mkinyonyesha humpati siku zenu endeleeni kumega mkate wa uzima bila hofu.
Kunyonyesha kinga ya kutopata mimba kwa asilimia 90-98 katika kipindi cha miezi sita baada ya kujifungua na baada ya hapo inatofautiana kati ya mtu na mtu. Sharti muhimu ni kumnyonyesha mtoto bila kumpa chakula chochote katika hiyo miezi sita na kumnyonyesha mara 7 - 12 kwa siku. hapa hutumii njia yoyote ya kupanga uzazi labda kwa hiyo asilimia walio hatari ya kushika mimba wakati huo.
Mi nna mtoto wa miezi miwili sijapata siku zangu tangu nijifungue. Nahitaji uhakika kua sitapata ujauzito vinginevyo itanigharimu sana. Huyu mtoto simpi chakula kingine zaidi ya maziwa yangu mwenyewe. Kama hii njia ya kunyonyesha haina uhakika nitumie njia gani ambayo haina madhara kwa unyonyeshaji?