Je, kuoana kabila moja hupelekea ndoa kudumu?

Je, kuoana kabila moja hupelekea ndoa kudumu?

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
Eti wakuu hii imekaaje?

Ni kweli ndoa za sasa huvunjika kwa sababu ya kuoana makabila tofauti?

Nawakilisha tu
 
Ndio. Watu wa jamii moja mara nyingi wana tabia zinazofanana.

Wahaya wanajitahidi sana kwenye hili na ndoa zao hazivunjiki
 
Kuvunjika ndoa kupo palepale haijalishi kuwa ni WA kabila Moja. OVER
 
Sio kweli mkuu angalia Wakurya wanaoana sana ila kila siku mapanga shaaaaaa shaaaa ndoa chaliiiii .
 
Back
Top Bottom