JITU LA MIRABA MINNE JF-Expert Member Joined Mar 28, 2015 Posts 726 Reaction score 476 Aug 8, 2022 #1 Eti wakuu hii imekaaje? Ni kweli ndoa za sasa huvunjika kwa sababu ya kuoana makabila tofauti? Nawakilisha tu
Eti wakuu hii imekaaje? Ni kweli ndoa za sasa huvunjika kwa sababu ya kuoana makabila tofauti? Nawakilisha tu
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 6,296 Reaction score 6,692 Aug 8, 2022 #2 Sijasoma lakini jibu hapana
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Aug 8, 2022 #3 Ndio. Watu wa jamii moja mara nyingi wana tabia zinazofanana. Wahaya wanajitahidi sana kwenye hili na ndoa zao hazivunjiki
Ndio. Watu wa jamii moja mara nyingi wana tabia zinazofanana. Wahaya wanajitahidi sana kwenye hili na ndoa zao hazivunjiki
amadala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,265 Reaction score 12,268 Aug 8, 2022 #4 Kuvunjika ndoa kupo palepale haijalishi kuwa ni WA kabila Moja. OVER
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,817 Reaction score 10,667 Aug 8, 2022 #5 Sio kweli mkuu angalia Wakurya wanaoana sana ila kila siku mapanga shaaaaaa shaaaa ndoa chaliiiii .