Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
Unakuta kapigiwa simu ilipokata akaanza mjadala wa kuuliza na kujibu maswali huku akiwa peke yake na hata kucheka atacheka.
Au amedhulumiwa kitu ataanza kuongea peke yake mpaka ataweka hitimisho
Pengine kuna speech kesho yake usiku ataanza kuongea peke yake tena kwa vitendo hadi style ya kusimama au kucheka atazifanya.
Itokee meeting maalumu iwe kabla au baada ya meeting utakuta anaongea peke yake tena kwa vitendo na hitimisho kabisa.
Ukibahatika ukamkamata akifanya hivo anakuwa mkali sana.
Swali: Hawa watu huwa wanatatizo gani? Nini kinawasibu kwenye ubongo wao?