Je, kuongea na kujijibu peke yako ni tatizo? Linasababishwa na nini?

Je, kuongea na kujijibu peke yako ni tatizo? Linasababishwa na nini?

Hili tatizo sana kwangu. Kwanza utotoni niliishi bila watoto wa kucheza nao hivo nikakomaa na mambo ya kiutu uzima.

Sikukaa na wazazi wangu hivo sikuweza kuwa na uhuru wa kujieleza. Mwishowe vitabu, Internet na TV ndo vikawa kimbilio langu. Nikawa naongea na kujijibu mwenyewe, nikiona kitu nakijadili na kutoa jibu. Hadi sasa hizi tabia hazijaisha.
 
Back
Top Bottom