Je, kuongezewa damu kunaweza kusababisha niwe na tabia tofauti na ndugu zangu?

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
9,748
Reaction score
26,238
Wakuu naomba kufahamishwa hili suala,

Tabia ninazozizungumzia hapa ni zile za kurithi au za kibailojia. Udogoni niliwahi kuumwa sana mpaka kupelekea kuongezewa damu na jamaa mmoja wa familia nyingine. Mimi ni last born nina ndugu zangu wengine watano, ambao tunafanana kwa sura na maumbile kama baba yetu.

Lakini tofauti yangu na yao ni kwamba wao ni wakimya na sio waongeaji sana wakati mm ni mwongeaji kama kiredio na napenda sana kubishana. Ndugu zangu wote walikuwa na interest na masomo ya sayansi na hata professional zao zimeelekea huko wakati mimi ukinambia habari ya masomo ya sayansi tunaweza tukakosana.

Ndugu zangu wana hasira za haraka sana wakati mm hasira zangu ziko mbali sana. Kuna vijitabia vingi sana ambavyo tunatofautiana ambavyo siwezi kuvisema hapa mpaka ndugu zangu wanafikia hatua ya kunishangaa na kuniuliza "WEWE UPOJE"

Nilibahatika kukutana na jamaa aliyeniongezea damu (ambaye sasa ni mtu mzima) nilipokaa na kuongea nae within a short time nikagundua tunashabihiana kwa vitu vingi tu ikiwemo kujenga ubishi wa hoja na hata akikwazika hakasiriki kabisa.

Swali ni je vinasaba vya damu yake ndio vimenifanya nitofautiane kitabia na ndugu zangu?

Nawasilisha
 
Inawezekana kam ulivyosema huenda ikawani kuna ukweli ndani yake. Lakini nionavyo mimi kila mtu anapozaliwa anakuwa na tabia yake hamuwezi kuwa ndugu wote wapole au kuwa na tabia moja kila mmoja wenu ana tabia zake kutokana na jinsi alivyozaliwa.
 
Back
Top Bottom