Je, kupaka matope utawala wa hayati Magufuli kutatubeba wapinzani kisiasa? Magufuli hayupo nasi kwenye ulingo wa kisiasa, kwanini mnakomaa kumchafua?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukumiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.

Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.

Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?

Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
 
Magufuli ndiye Rais fisadi Papa bora wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi wake.

Ufisadi aliopiga Magufuli ni mkubwa kuliko ufisadi wote wa awamu zote nne za nyuma yake ukijumlisha kwa pamoja.

Sifa na utukufu zimwendee CAG Profesa Musa Assad ambae alifanya kazi nzuri sana ya kuibua ufisadi ule.

 
What next?
 
Utawala Wa JPM haukuwa rafiki kwa jamii nzima wakiwemo Wafanyabiashara wakubwa. Kwa hiyo si wapinzani tu wanaousema utawala huo, wapo Wafanyabiashara, wafanyakazi Wa umma, CCM asilia n.k n.k
Sasa tukimchafua hayati ndio na sisi tutapaa kisiasa?
 
Wewe ni mataga, msiyempanda kaja.
 
Utakumbukwa kwa uliyofanya ukiwa hai, kama hicho ndio anachokumbukwa nacho Mwenda zake wacha akumbukwe kwa hicho.
 
Kawaulize maccm wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…