Ndio nataka kufanya hivyo.
Very interesting nimeambiwa ni mtu mmoja tu ndio alikuwa nayo (Mtikila)
In anyway watu wakiaanza kuwa na hizi bendera kwa sababu za kisiasa itakuwa ndio mwisho wa Muungano, asilimia 10% pekee ya Watanganyika ni kubwa kuliko Wazanzibari, huu itawapa swali gumu sana Wazanzibari
Chonga bendera mzee! 😁
Nenda kiwanda chochote cha nguo wanakutolea bendera, weka mlingoti kwako hapo pandisha kila siku asubuhi. Shusha kila siku jioni saa 12.
Nunua na filimbi kabisa, unapiga wakati wa kupandisha na kushusha. 😁
