Ndio nataka kufanya hivyo.
Very interesting nimeambiwa ni mtu mmoja tu ndio alikuwa nayo (Mtikila)
In anyway watu wakiaanza kuwa na hizi bendera kwa sababu za kisiasa itakuwa ndio mwisho wa Muungano, asilimia 10% pekee ya Watanganyika ni kubwa kuliko Wazanzibari, huu itawapa swali gumu sana Wazanzibari
Uhakika... Ila huko tiktok nimeanza kuzionaChonga bendera mzee! 😁
Nenda kiwanda chochote cha nguo wanakutolea bendera, weka mlingoti kwako hapo pandisha kila siku asubuhi. Shusha kila siku jioni saa 12.
Nunua na filimbi kabisa, unapiga wakati wa kupandisha na kushusha. 😁
Full stop.Hii parasitic union una faida kwa ccm na wazanzibari pekee
ni kitu useless na completely nonsense kisicho na maana yoyote Tanzania gentlemanKama kichwa kinavosema, kutumia bendera ya Tanganyika kama utambulisho wa upande mmoja wa Muungano, inaweza kuhesabiwa kama uchochezi?
Na bendera za Tanganyika zilitupwa au kuchomwa?
Zanzibar wana bendera kwa nini Tanganyika wasiwe nayoni kitu useless na completely nonsense kisicho na maana yoyote Tanzania gentleman
waTanzania tunasonga mbele gentlemanZanzibar wana bendera kwa nini Tanganyika wasiwe nayo
Watanzania bakini na Tanzania na Watanganyika tuwe na TanganyikawaTanzania tunasonga mbele gentleman
kwendeni zenu na hiyo nonsense yenu,Watanzania bakini na Tanzania na Watanganyika tuwe na Tanganyika