Je Kupotea kwa watu tanzania ni Ugaidi au siyo Ugaidi??

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Kama watu wanapotea bila kujua wapi wanaelekea je huo ni ugaidi au siyo ugaidi?Je Ugaidi ni upi?Tuambiane kuhusu neno Ugaidi.
 
Shida ya jini la kike linawapoteza wa bara tu,wale wala urojo watu lainilaini hana muda nao...hili jini la kike sijui kma linafamilia
 
Back
Top Bottom