KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,952 Reaction score 9,469 May 6, 2025 #1 Kama watu wanapotea bila kujua wapi wanaelekea je huo ni ugaidi au siyo ugaidi?Je Ugaidi ni upi?Tuambiane kuhusu neno Ugaidi.
Kama watu wanapotea bila kujua wapi wanaelekea je huo ni ugaidi au siyo ugaidi?Je Ugaidi ni upi?Tuambiane kuhusu neno Ugaidi.
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,894 Reaction score 19,779 May 11, 2025 #2 KakaKiiza said: Kama watu wanapotea bila kujua wapi wanaelekea je huo ni ugaidi au siyo ugaidi?Je Ugaidi ni upi?Tuambiane kuhusu neno Ugaidi. Click to expand... Shida ya jini la kike linawapoteza wa bara tu,wale wala urojo watu lainilaini hana muda nao...hili jini la kike sijui kma linafamilia
KakaKiiza said: Kama watu wanapotea bila kujua wapi wanaelekea je huo ni ugaidi au siyo ugaidi?Je Ugaidi ni upi?Tuambiane kuhusu neno Ugaidi. Click to expand... Shida ya jini la kike linawapoteza wa bara tu,wale wala urojo watu lainilaini hana muda nao...hili jini la kike sijui kma linafamilia
W WALOLA VUNZYA JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 8,437 Reaction score 8,136 May 28, 2025 #3 KakaKiiza said: Kama watu wanapotea bila kujua wapi wanaelekea je huo ni ugaidi au siyo ugaidi?Je Ugaidi ni upi?Tuambiane kuhusu neno Ugaidi. Click to expand... Ni ugaidi wa hali ya juu.
KakaKiiza said: Kama watu wanapotea bila kujua wapi wanaelekea je huo ni ugaidi au siyo ugaidi?Je Ugaidi ni upi?Tuambiane kuhusu neno Ugaidi. Click to expand... Ni ugaidi wa hali ya juu.