Je kurudia chuo inawezekana?

Je kurudia chuo inawezekana?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Ndg zangu, naomba kuuliza; je inawezekana mtu aliyehitimu Shahada (mfano Acquatic Sciences), na aliyekuwa anasomeshwa na serikali, kusajiliwa na kurudia shahada nyingine (mfano Medical Laboratory) na akaendelea kulipiwa ada, 'boom' pamoja na gharama nyingine hapa Tanzania?
 
Kurudia chuo inawezekana bt mkopo hupewi tena.
 
Ahsante Senetor. Ila kuna jamaa yangu alikuwa anasoma Land Valuation hapo ARDHI, baada ya kuona kuna dalili ya ku-disco, akaomba chuo kupitia TCU na akapata Sociology - UDSM na mambo yapo poa. Hii vp?
 
teh teh teh umenifurahisha coz lmv ndo course yangu bt asingeacha,kimsing atakuwa alilipa asilimia 25 ya ada aliyolipiwa na bodi ya mkopo hivyo inamuwezesha kulipiwa tena na bodi.
 
Ndo mana nakuambia kupata chuo sio tabu as long as una vigezo lakni mkopo cdhani kama utapata tena.jamaa flan alidisco hapo Coet last year,akaaply tcu akapata DIT bt mkopo hakufanikiwa kupata tena.ila kama uko dar jaribu kwenda tcu na heslb kupata uhakika kamili.over
 
teh teh teh umenifurahisha coz lmv ndo course yangu bt asingeacha,kimsing atakuwa alilipa asilimia 25 ya ada aliyolipiwa na bodi ya mkopo hivyo inamuwezesha kulipiwa tena na bodi.

dada salam napita!
 
Back
Top Bottom