Je, Kusalimia Watu ni jambo la lazima???

Mrembo mmoja alitupita alipofika mbele ghafla alirejea kutuuliza tukaanza kubweka kama mbwa bila kumpatia jibu aliondoka kwa huzuni
 
Mrembo mmoja alitupita alipofika mbele ghafla alirejea kutuuliza tukaanza kubweka kama mbwa bila kumpatia jibu aliondoka kwa huzuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Kiufupi ulitaka kututangazia na wewe "unadrive"
 
Kiufupi ulitaka kututangazia na wewe "unadrive"
[emoji1787]sio hvo me nmeuliza tu unakuta wamama wanaongea huyu jamaa hasalimiag watu kuna jamaa anapitaga na pikipik yake hata hajawah kuwapa hi
 
Salamu ni uungwana
Na kwa nini upite watu bila kusalimia hata kama upo kwenye gari shusha kioo salimia
 
Usiposalimia watu ukifa hawaji kukuzika
 
Kwel hata mimi nyuma sirud..nakomaa hivyo hivyo kama nazid kupotea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mi mwenyew nawazaga siku nikiwa na gari sijui itakuaje..maana navyojua kusalimia napotoka home mpka kufika barabaran ni kama wananzengo 8 hiv ...sasa sijui kila sehemu nasimamisha gari au???πŸ˜‚πŸ˜‚ itakua adhabu sana.....BASI GARI SINUNui
 
Mi mwenyew nawazaga siku nikiwa na gari sijui itakuaje..maana navyojua kusalimia napotoka home mpka kufika barabaran ni kama wananzengo 8 hiv ...sasa sijui kila sehemu nasimamisha gari au???[emoji23][emoji23] itakua adhabu sana.....BASI GARI SINUNui
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…