Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Mrembo mmoja alitupita alipofika mbele ghafla alirejea kutuuliza tukaanza kubweka kama mbwa bila kumpatia jibu aliondoka kwa huzuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba umewapita raia kavu kavu hafu ukapotea njia unarud kuuliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utajua hujui , kwa upande wangu siwezi kurudi nyuma kabisa [emoji16][emoji16]