Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
mazingira gani tena jamaniiiUsipendelee kumsamehe aliyekusaliti. Ila pia kumbuka usliti mwingine hauna budi kufanyiwa, sometimes mazingira humfanya mtu akusaliti.
Kwa mfano, mtu anaambiwa usipotoa mbunye anachinhwa, huku amebanwa kwenye mazingira magumu. Si Kila usaliti unapangwa kwa makusudi mkuu.mazingira gani tena jamaniii
Yeah ni ngumu mno kuishi vizur tena na msalitiKusamehe si ishu, ishu ni kuendelea na maisha kama ilivyokuwa zamani. Hapo ndipo ugumu ulipo. Ni rahisi kumsamehe mtu, lakini kuendelea kumwamini kama zamani si kitu rahisi.
aaah kwakweliiiiKusamehe si ishu, ishu ni kuendelea na maisha kama ilivyokuwa zamani. Hapo ndipo ugumu ulipo. Ni rahisi kumsamehe mtu, lakini kuendelea kumwamini kama zamani si kitu rahisi.
kweli kabisaaaYeah ni ngumu mno kuishi vizur tena na msaliti
mmmh mapyaa hayaaa jamaniUnasamehe huku na wewe unasaliti kimyakimya....wanawake wenzangu mnisamehe kwa kutoa code, Leo naumwa.