Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Suala la Mbowe kukamatwa limezua maswali yasiyo na majibu.
Watu wengine wanasema Rais hahusiki kwa namna yoyote hivyo kaviacha vyombo vya dola huru vifanye kazi yake pasi kuviingilia.
Wengine wanasema Rais kahusika kwa 100%.
Je, Rais kahusika?
RPC hawezi kufanya arresting direct. Askari au maafisa wadogo ndio hufanya arresting ya watuhumiwa.
Je, kwa cheo na nafasi ya Mbowe Tanzania Askari au afisa mdogo wa jeshi la polisi anaweza kumshika pasi kupewa amri na RPC?
Jibu ni hapana.
Je, RPC anaweza kumshika Mbowe bila ruhusa ya IGP? Jibu ni hapana.
Ok, hapa tunapata jibu kuwa IGP kahusika katika suala zima la kumweka Mbowe chini ya ulinzi.
Je, IGP anaweza kumshika Mbowe bila idhini ya Rais wa JMT?
Jibu ni ndio anaweza au hawezi itategemea na mazingira.
Sasa uhusika wa Rais Samia katika suala zima la kumshika Mbowe unaweza kuonekana ndani ya masaa 24 baada ya kushikwa Mbowe.
Kwa cheo cha Mbowe na mfumo wa vyama vingi tulionao kama Rais Samia asingeridhia kushikwa kwake basi angeamuru aachiwe mara moja. Hapa simaanishi kuwa Mbowe kwamba yuko juu ya sheria na hawezi kukaa selo au kufungwa. Hapana.
Tunaangalia mazingira aliyoshikwa. Mbowe alikwenda Mwanza kupigania katiba mpya ambayo Rais ameiweka kapuni mpaka atakapoamua yeye.
Kama issue ni ugaidj kwanini hajashikwa Dar es Salaam?
Au viashiria vya ugaidi wa Mbowe vimeonekana ndani ya siku moja tu na uamuzi wa kumshika ulifanyika haraka ili asilete madhara?.