msana JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 215 Reaction score 307 Aug 3, 2021 #21 Ushawahi fagia ndani kwako uchafu ukautupia uvunguni? [emoji38] basi utafurahisha wageni na hongera chumba kisafi ila mwenyeji hutokuwa na tabasamu la moyoni yani .......imenitokea hapa muda huu Sent from my SM-P901 using JamiiForums mobile app
Ushawahi fagia ndani kwako uchafu ukautupia uvunguni? [emoji38] basi utafurahisha wageni na hongera chumba kisafi ila mwenyeji hutokuwa na tabasamu la moyoni yani .......imenitokea hapa muda huu Sent from my SM-P901 using JamiiForums mobile app