Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Dec 21, 2022 #1 Eti wakuu, kulingana na mafundisho ya dini, kusimama wima wakati wa kushusha na kupandisha bendera ni ibada ya sanamu?
Eti wakuu, kulingana na mafundisho ya dini, kusimama wima wakati wa kushusha na kupandisha bendera ni ibada ya sanamu?
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Dec 21, 2022 #2 Wasabato hamna tabu sana.