Eagle J
Member
- Jan 30, 2020
- 27
- 53
Binafsi sio msomaji sana wa vitabu ila nikipata muda wa kusoma vitabu napata viwili vitatu maisha yanasonga, nimekutana na watu mbalimbali wakitoa ushuhuda kuwa kusoma vitabu kumewasaidia sana hasa kwenye sehemu ya mahusiano ya kimapenzi kwa kuboresha mawasiliano na ujanja kitandano
Je kusoma kwako vitabu/machapisho kumekusaidia kwenye mahusino yako ya kimapenzi?
ni vitabu gani hasa vimekusaidia?
Je kusoma kwako vitabu/machapisho kumekusaidia kwenye mahusino yako ya kimapenzi?
ni vitabu gani hasa vimekusaidia?