My best of all time
1.Men are from Mars women are from Venus by John Gray
Hiki kimenisaidia mno Tena Sana kumuelewa my partner Wakati Ana stress how to handle emotions, to solve discussion
Niseme kimekua msaada mkubwa mno kwenye relationship yangu coz hata my partner alishakisoma and tumewahi kukisoma pamoja pia baada ya kila mtu kukisoma kivyake
2.The five love languages by Gary Chapman
And this too....all Love can say and how to express