Je, kutakuwa na uchelewesho wa kuapisha Baraza la Mawaziri kufuatia kifo cha Kamishna wa Tume ya Maadili Jaji mstaafu Nsekela?

Je, kutakuwa na uchelewesho wa kuapisha Baraza la Mawaziri kufuatia kifo cha Kamishna wa Tume ya Maadili Jaji mstaafu Nsekela?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wengi wetu tulitegemea mawaziri wataapishwa kesho lakini kwa bahati mbaya Kamishna wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Halord Nsekela amefariki dunia leo.

Kwa ratiba niliyonayo marehemu Nsekela aliyefia jijini Dodoma mwili wake utasafirishwa siku ya Jumanne kuelekea Tukuyu Mbeya ambako atazikwa siku ya Alhamis.

Sasa sijajua kama zoezi la kuapishwa mawaziri wateule litasubiri uteuzi wa Kamishna mpya wa maadili au itakuwaje?

Watu wa itifaki msaada Tafadhali.

Rip Halord Nsekela

Maendeleo hayana vyama!
 
Alipofariki waziri wa sheria DK mahiga uteuzi na kuapisha ilikuwaje?huo sio msiba wa kitaifa bwana
 
Huo sio msiba wa kitaifa wala hauzuii shunghuli zozote za kitaifa kuendelea.wala hata bendera haishushwi nusu mlingoti
 
Nadhani huyajui majukumu ya Kamishna wa Tume ya maadili!
Majukumu gani wewe kujazisha fomu za utajiri wa viongozi?bendera iko nusu mlingoti sasa kama ana majukumu makubwa mbona hatujatangaziwa msiba wa kitaifa
 
Back
Top Bottom