johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimekuelewa mkuu!Subra ndio kila kitu!
Nadhani huyajui majukumu ya Kamishna wa Tume ya maadili!Alipofariki waziri wa sheria DK mahiga uteuzi na kuapisha ilikuwaje?huo sio msiba wa kitaifa bwana
Majukumu gani wewe kujazisha fomu za utajiri wa viongozi?bendera iko nusu mlingoti sasa kama ana majukumu makubwa mbona hatujatangaziwa msiba wa kitaifaNadhani huyajui majukumu ya Kamishna wa Tume ya maadili!