Adhabu hutolewa kwa kufuata vifungu vya sheria, hapo mtatumia kifungu gani cha sheria?Kwa nidhamu ya utawala na usimamizi wa mambo huu ni utovu wa adabu. Waaofanya hivi kwa haki kabisa wanatakiwa kuadhibiwa.
Watu ifikie kipindi wawe wanavaa hivi viatu, na mfano mwepesi wewe kama unafamilia halafu atokee mtu katika familia aisemee mee tu familia yako bila utaratibu maalumu, utajisikiaje au utafanyaje ?
Watu sijui huu ujinga wanautoa wapi ? Waache kuleta harakati kwenye maslahi ya wengi, wapeleke harakati zao katika majumba yao waone kama zitaleta natija.
Ungeelewa nichokiandika usingeuliza swali hili. Nilichokiandika kimeonyesha wazi udhaifu wa sheria zenu, maana yake kinyume chake ni ukweli.Adhamu hutolewa kwa kufuata vifungu vya sheria, hapo mtatumia kifungu gani cha sheria?
Ngoja Mwigullu Nchemba aje yumo humu!Adhabu hutolewa kwa kufuata vifungu vya sheria, hapo mtatumia kifungu gani cha sheria?
Ni mmoja wa watunga sheria kwani ,mbona na wewe unahoji.Nauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka.
Waziri wa Katiba na sheria Prof Mwigullu Nchemba alisema wanaoruhusiwa kutoa takwimu ni Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu na waziri wa afya pekee.
Sasa najiuliza hawa wengine akina Padri hawavunji sheria?
Maendeleo hayana vyama!
Kwa nini siku hizi neno korona halitajwi badala yake tunasema magonjwa ya kupumua?Nauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka.
Waziri wa Katiba na sheria Prof Mwigullu Nchemba alisema wanaoruhusiwa kutoa takwimu ni Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu na waziri wa afya pekee.
Sasa najiuliza hawa wengine akina Padri hawavunji sheria?
Maendeleo hayana vyama!
Corona ni kizungu!Kwa nini siku hizi neno korona halitajwi badala yake tunasema magonjwa ya kupumua?
Kumbe we mpuuzi sana.Nauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka.
Waziri wa Katiba na sheria Prof Mwigullu Nchemba alisema wanaoruhusiwa kutoa takwimu ni Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu na waziri wa afya pekee.
Sasa najiuliza hawa wengine akina Padri hawavunji sheria?
Maendeleo hayana vyama!
Kuuliza siyo ujinga wewe mbwiga!Kumbe we mpuuzi sana.
Nauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka.
Waziri wa Katiba na sheria Prof Mwigullu Nchemba alisema wanaoruhusiwa kutoa takwimu ni Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu na waziri wa afya pekee.
Sasa najiuliza hawa wengine akina Padri hawavunji sheria?
Maendeleo hayana vyama!
Akina padri?Nauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka.
Waziri wa Katiba na sheria Prof Mwigullu Nchemba alisema wanaoruhusiwa kutoa takwimu ni Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu na waziri wa afya pekee.
Sasa najiuliza hawa wengine akina Padri hawavunji sheria?
Maendeleo hayana vyama!
Ukikaa ukatafakari kwa makini utabaini kwamba ngome ya rome na ukatoliki unanguvu kuliko serikali ya jiwe.Nauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka.