Je kutokujamba ni tatizo kiafya?

ACADEMIA TODAY

Senior Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
179
Reaction score
86
JF Doctors naomba msaada
binti yangu wa miaka 4 huwa simsikii akijamba kabisa
mie niliona kawaida tuu maana hata mm naweza pitisha siku hata 4 bila kujamba kabisa
mama yangu ndo alinishtua kuwa mtoto hajambi, mie sikuona tatizo, ila yeye kasema ni tatizo ingawa hana maelezo ya kina
kuhusu afya yake iko sawa tuu, haumwi tumbo mara kwa mara, yaani yupo fine.
sasa naombeni kujua kama ni tatizo la kiafya au ni kawaida.

Asanteni.
 
miaka minne... Napata wazo huenda huwa anaona aibu na huwa anajamba ambapo hakuna wakubwa. Au kwa msaada zaid jaribu kumwona daktar kwan atakupa majb ya uhakika zaid. Ahsante
 
Inategemea na vyakula unavyompa, ukitaka afungue njia jaribu kumpa mayai ya kuchemsha, matunda ya mzeituni, makande, hapo asipojamba basi atakuwa mgonjwa wahi hospital. Kama upo DSM Dk Massawe wa Muhimbili anasaidia sana watoto.
 
Inategemea na vyakula unavyompa, ukitaka afungue njia jaribu kumpa mayai ya kuchemsha, matunda ya mzeituni, makande, hapo asipojamba basi atakuwa mgonjwa wahi hospital. Kama upo DSM Dk Massawe wa Muhimbili anasaidia sana watoto.

Nimecheka eti Dr Massawe wa muhimbili anasaidia sana watoto kujamba?hahahahahahahahahaha Tujaribu kuwa serious
 
anakula maharage kweli. embu mpe chakula na mboga ya maharage siku mbili mfululizo.
akichomoa. mpeleke hospitali
 
Wenda dogo kala mapera (guava) coz yale madude kazi yake ni pevu xana baada ya kuyala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…