ACADEMIA TODAY
Senior Member
- Jun 7, 2013
- 179
- 86
JF Doctors naomba msaada
binti yangu wa miaka 4 huwa simsikii akijamba kabisa
mie niliona kawaida tuu maana hata mm naweza pitisha siku hata 4 bila kujamba kabisa
mama yangu ndo alinishtua kuwa mtoto hajambi, mie sikuona tatizo, ila yeye kasema ni tatizo ingawa hana maelezo ya kina
kuhusu afya yake iko sawa tuu, haumwi tumbo mara kwa mara, yaani yupo fine.
sasa naombeni kujua kama ni tatizo la kiafya au ni kawaida.
Asanteni.