Je, kutolewa kwa Yanga wameonyesha fair play kwenye kombe la mapinduzi?

Kabisa mkuu..,.....hii ingekua mbaya Zaid tungefungwa na mnyama
 
Asee, ninachojua mimi kama yanga wangecheza na Namungo, basi Mwiko ungechomolewa asubuhi tuu.

Pia kwamba wamemuachia Mnyama siyo kweli, utokaji wao uwanjani kwa unyonge kama mbuzi wa kafara ulionesha kuwa Uto wamepigwa Utosini, over!
 
Exactly.
 
Waliona mbali
 
Mkuu....kumbe hujawahi shuhudia ....unakuta mdada analia ......kumbe anaku anakuzuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…