Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu..,.....hii ingekua mbaya Zaid tungefungwa na mnyamaWametuzidi bao moja tu mkuu. Ila kiukweli kitendo cha wachezaji waliokuwa batani kufungashwa kwenye boat kucheza mpira wakati hawana match fitness ni Mungu tu kajua ya mbeleni katunusuru. Bora utolewe na Azam kuliko maumivu ya kufungwa na mtani wako magoli 2+
Kwahiyo umehama sio kupoteza tena points, so interesting...! kwahiyo unamaanisha yanga atamaliza ligi bila kufungwa au sioKupoteza gemu mkuu
Mada imezungumzia nafasi, tudili ba nafasi. Ukiizungumzia namungo imefanya vizuri kimataifa kuliko azamMkuu.....asa Azam una wafananisha na Hawa wala panya kweli (namungo)[emoji23][emoji23][emoji23]
Exactly.Mkuu tukienda kwenye uhalisia wa mambo ni kwamba viongozi wa Yanga hawajitambui. awali uongozi wa Yanga waliidharau mashindano na ndio maana wachezaji muhimu pamoja na kocha mkuu wakapewa mapumziko tofauti na ilivyokuwa kwa Simba ambapo waliitumia hii michuano kimalengo zaidi ya kuimarisha kikosi chao zaidi na ndio maana umeona kwanzia mechi ya kwanza Simba na Azam wameweka wachezaji karibia wote waliokuwa wanaanza kikosi cha kwanza.
Hao hao viongozi wanageuka tena kuona kuna umuhimu wa Yanga kufuzu hatua ya nusu fainali hivyo wakakurupuka kuwazoa wakina Bangala ambao waliokuwa wanakula bata tu mtaani unawazoa wafanye mazoezi siku moja tena kwa masaa kadhaa halafu kesho yake wacheze mechi. Aisee mpira hauko hivyo
Ukija upande wa wachezaji ni kwamba ukiangalia nafsini mwao hakuna hata mmoja aliyetamani kutolewa. Na ndio maana unaona akipiga penati kisha akapata anafurahia mno na alipokosa Yasin walinyong'onyea mno. Wachezaji walitamani wafuzu ila wamezidiwa na Azam.
Waliona mbaliWametuzidi bao moja tu mkuu. Ila kiukweli kitendo cha wachezaji waliokuwa batani kufungashwa kwenye boat kucheza mpira wakati hawana match fitness ni Mungu tu kajua ya mbeleni katunusuru. Bora utolewe na Azam kuliko maumivu ya kufungwa na mtani wako magoli 2+
Mkuu....kumbe hujawahi shuhudia ....unakuta mdada analia ......kumbe anaku anakuzugaAsee, ninachojua mimi kama yanga wangecheza na Namungo, basi Mwiko ungechomolewa asubuhi tuu.
Pia kwamba wamemuachia Mnyama siyo kweli, utokaji wao uwanjani kwa unyonge kama mbuzi wa kafara ulionesha kuwa Uto wamepigwa Utosini, over!
Sisi ni ndugu mzeeBado hamjafika viwango vya kuichangia Simba Sc.View attachment 2077829
amecreate tozo hana usmart wowoteYanga ni smart in thinking
huwezi ona mashabiki wa yanga wanakurupuka ....mfano. Mwigulu kwenye wizara ya fedha .....yuko very creative