Wanawake ndio mnasababisha wanaume wanajichua. Maana hizi tabia hazikuwapo miaka ya nyuma. Msisimgizie utatandawazi maana kama ni pornography hata miaka ya nyuma mikanda,magazine na CD ngono zilikuwapo ila utelezi haukuwa unauzwa kama maika ya sasa.
Miaka ya 1990's unakutana na binti umemuelewa ukibanana nae kichochoroni tu wadau wakikuona then utatembezwa umbea wa chini chini kuwa wewe pekee ndie unawania huyo kimwana so washkaji wa kitaa watakuwekea heshima kwa huyo binti na hawatamtongoza maana ni shemeji yao. Pia mabinti wataweka tahadhari hawatakutega maana wanajua unafukuzia wapi.
Kadi yako, uwa la waridi [emoji257] na barua ya mahaba yenye dedication za nyimbo tamu za R&B za kumshawishi binti taratibu anafunguka nafsi na kukupa huba zito hapo ni wewe tu sasa unabakia kutafuta geto zuri uende mkatafute kilele cha mlima Kilimanjaro. Hakuna cha kuombana bundle za internet, hela za salooni, sijui nguo, simu kioo kibovu, mara sijui hela ya kiepe, au kuombana hela yoyote labda wewe tu uwe na kiherehere kumpatia huyo binti kwanza wenyewe walikuwa hawaoni umuhimu wa kuomba chochote kwa mvulana ukiacha kutegemea kupewa maua, kadi, na barua za mara kwa mara za mahaba. Sio kwamba kwamba miaka ile saloon hazikuwapo au maduka ya vitu wanavyopenda mabinti hayakuwapo ila hawakuona umuhimu wa kumpa jukumu hilo boyfriend wake maana walijua wote bado ni tegemezi wa familia hawana kazi na hawajaanza kuishi life ya kujitegemea kubeba majukumu kama hayo.
Ila sasa miaka hii khaaaaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mabinti kwanza umalaya wapo, mwanamke kutulia na mwanaume m'moja anaona ni ulemavu ila ujanja ni kuwa na wanaume hata sita.
Ukahaba ndio ujanja wa mjini siku hizi kila binti ameweka mwili wake rehani kwaajiri ya pesa na usipompatia chochote anaona kama wewe ni mshamba, mchoyo, haujali, hujui mahusiano, humpendi na kadhalika.
Kuchanganya mapenzi na biashara. Mtu anaona mapenzi ni sehemu ya kujiingizia kipato tena hapo hapo ukiona unatumika na wewe unaamua kupanua wigo wako wa mawindo ana maind kabisa, sasa una mind nini na unalipwa kufanya mahusiano si umejifanya wewe ni kahaba unauza mwili kwann hutaki wenzako nao wapate kujikimu kupitia mahusiano au hujui vizuri unakula na wenzako?
Kwa style hii wanaume wanaona wanaingia gharama isiyo ya lazima ambayo kiasili haipo ni mentality ya kishamba tu imetengenezwa na watu wenye tamaa ya kutaka urahisi wa maisha waishi kupitia mateso ya wengine. Wanaamua kutumia njia mbadala kupata namna za kukidhi mahitaji ya kimwili na kutuliza tamaa za mwili kama kununua dada poa, kubaka watoto, kulala na mashoga, wanyama, kujichua na kadhalika.
Yote hii ni dhambi ya wanawake kugeuza miili yao bidhaa ya kuuza sokoni tena kwa kubargain kabisa. Na wengine waliokosa haya huwa wanatumia vibaya mistari ya Bible kama ule unasema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho lake mistari ambayo haikulenga upuuzi wanaofanya. Ingekuwa ni hivi basi mama zetu, dada zetu na mashangazi zetu walifuata vitabu gani maik kabla ya leo na walienda kanisani kuwashinda ninyi wa sasa na pia walikuwa wanatulia sana kwenye ndoa zao na hawakuwa na mambo mengi na haramu kama kizazi hiki cha sasa ambacho kinauza roho kirahisi mbele ya pesa?
Anyways tuendelee tu na upotofu tutajua mbivu na mbichi umri ukienda uzuri ukachuja na miili ikawa haina tena mvuto wa mahaba. Maana uzuri ni kama ua tu, huchanua na kunyauka.
Sent using
Jamii Forums mobile app