Baba na mtoto wana pua kama mdomo wa nguruwe poriCio kweli
View attachment 3381295
Ukiwa MTU mwema au nice guy au positive person, unakuwa unafanya maisha yalete ladha kwako na kwa familia yako na kizazi chako.
Mafanikio ya hapa duniani hayana uhusiano wowote na kuwa MTU mwema au mbaya unaweza kuwa MTU mbaya ukafanikiwa the same unaweza kuwa MTU mzuri ukafanikiwa.
Ila Alama au legacy itakusoma zaidi ukiwa mtu mwema kwakuwa success is not personal and life the same .
Kuwa MTU mwema ni jambo zuri Sana
Mambo Kama yapi?Kweli mkuu but vip sio kwamba inakua inakulimit kwenye baadhi ya mambo
Ukiona mtu mbaya anafanikiwa anatembelea karma ya wazazi wake angalia uzao wake ....wema unalipa kuliko ubayaUkiwa MTU mwema au nice guy au positive person, unakuwa unafanya maisha yalete ladha kwako na kwa familia yako na kizazi chako.
Mafanikio ya hapa duniani hayana uhusiano wowote na kuwa MTU mwema au mbaya unaweza kuwa MTU mbaya ukafanikiwa the same unaweza kuwa MTU mzuri ukafanikiwa.
Ila Alama au legacy itakusoma zaidi ukiwa mtu mwema kwakuwa success is not personal and life the same .
Kuwa MTU mwema ni jambo zuri Sana
TUNAWEZA KUFANYA MAMBO MAKUBWA,LAKINI PIA TUNAWEZA KUFANYA MAMBO MADOGO KWA UPENDO MKUBWAUkiwa MTU mwema au nice guy au positive person, unakuwa unafanya maisha yalete ladha kwako na kwa familia yako na kizazi chako.