Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Sijui kwa wengine hili limekaaje ila binafsi naona gari nalo ni kivutio kwa hawa dada zetu, kuna binti hapa mtaani enzi hizo sina gari aliniwekea ngumu ila mwaka jana nilivyomiliki gari yani alilegeza hata sikuamini.

I mean kuna siku kuna bidada anajiheshimu sana tu nilimpa lifti tukabadilishana contacts kesho yake kiutani nikamwambia tumeet akakubali fasta yani nikawa nacheka tu maana ilikuwa natania.

Kuna matukio mengi sana ambayo yalinithibitishia kuwa hawa dada zetu wana kaugonjwa kwa wanaume wenye magari, Japo haya matukio huwa yananitokea mimi najiheshimu na nampenda sana mpenzi wangu sipo tayari kutake advantage kwa hawa mabinti wa lifti.

So mimi ninachokiona kuna uwezekano mkubwa kwamba ukiwa na gari wanawake utakuwa kivutio kwao.Ni fikra tu.
 
Unatak kunimbia kwamba wadada wengi wa mjin wanaangalia magar au no lini wataacha kuangalia na waangalie utu
 
Ni kweli
 
kwa wasio jitambua hua wanaokotwa sana na mwanamme mwenye gari,bila kutaka kujua kama gari yake au kaazima hawana mda hata wakuangalia card ya gari,muhimu kapandishwa mbela mengine hataki kujua,lakini wanawake wanaojitambua hata kama hana gari anajua kujiongeza na hata kama unagari anaweza kusema sikutaki na gari yako..
 
Wachache sana katika 20 unapata mmoja tu.
 
Wachache sana katika 20 unapata mmoja tu.
 
umemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…