Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

kwenye daladala kuna utamu balaa hakunaga stress mara utasikia kondaa umeingiza yotee? Konda nini hiyo? Abilia si mizigo wangu?

Basi kama umenuna gafula kwe kwe kwee dala2 oyee
Oyeeee......
Ukute daladala yenye kariakoo/mbagala, basi ndio zinzidi
 
hebu lete kwanza picha ya huyo ulimpa lifti alafu hujamalizia, namba yake tuma PM dadeeeki....alafu ndio nitarudi kuchangia 😎
 
Kuna siku nimempa lifti binti flani hivi ambae ni jirani yangu na tunaheshimiana kwa mda mrefu, Baada ya kumpa lifti kama tano hivi kama jirani yake tunaeheshimiana alianza vituko, text kibao baby umekula , baby umetoka kazini🙂.. Huyo dem alikuwa wa mshkaji wangu hapa kitaa na alivyoshuhudia nampa lifti ushkaji Mbona ulipungua
 
Ikawaje we na binti?
 
Back
Top Bottom