Habari waungwana.....ni hivi nina mtoto wa dada yangu ama umri wa mwaka na nusu,lkn ana uzito wa kilo kumi na nusu.Leo nimpeleka kliniki wanasema aongezewe lishe.lakini mtoto anakula vizuri,kachangamka pia hasumbuliwi na magonjwa yoyote.Je tatizo linaweza kuwa nn??natanguliza shukran!