Je!kuwa na kilo nyingi ni afya??

Je!kuwa na kilo nyingi ni afya??

Danah

Member
Joined
May 9, 2014
Posts
19
Reaction score
5
Habari waungwana.....ni hivi nina mtoto wa dada yangu ama umri wa mwaka na nusu,lkn ana uzito wa kilo kumi na nusu.Leo nimpeleka kliniki wanasema aongezewe lishe.lakini mtoto anakula vizuri,kachangamka pia hasumbuliwi na magonjwa yoyote.Je tatizo linaweza kuwa nn??natanguliza shukran!
 
Kilo inatakiwa iendane n6a umri kwa mtoto mdogo,ila kwa umri wake 11 angalau ndio kawaida so kwel inabd ajthd kula
 
Back
Top Bottom