Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

But mkuu shem do you remember what biblical verses tell us kuhusu ndoa na kuachana? Samahani lakini sikukatishi tamaa unajua kimjini mjini kuolewa Sunnah!
Najua vizr bado biblia haikumaanisha kuolewa ni kutazamana tu...tutazaanaje sasa?..the same Bible imesema tuzaane na kuongezekata..sasa how can we multiply without sex? Acheni kucomplicate mambo..nikikuta Hana lolote sipotez hata muda wa kwenda hospt maana amenithibitishia yuko poa.
 
Wengine tulijitahidi sana kuilinda amri ya kutozini ila kama unavyojua miili hii ni ya nyama na udhaifu haukuumbiwa robot tukajikuta tumeanguka na kuendelea kuitonesha hii amri ya Mwenyezi Mungu...asikudanganye mtu mkuu ndoa is all about satisfaction,kuridhishana siyo kingine...na nyongeza katika hili ukiona ndoa iliyotulia tuli ujue mtu mume na mke walitoshana ujinga ujinga,yaana wana PHD ya u wehu kwenye mapenzi!
 
Wadau salam,

Naomba kujua kutoka kwenu kuwa inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?

Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, nimejitahidi kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lakini amekomaa na msimamo wake. Hofu yangu ni kwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.

Tulipokutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingine eti tungoje mpaka ndoa.

Wadau nisaidieni,mimi naishi kwangu na maisha yangu sina dhiki kwa kweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lakini dushe lake ananinyima. Kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? Kwangu mimi dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.
AKIKUPA UTAMCHOKA NA HUTAMUOA,, WANAUME HATUCHELEWI KUKINAI..
 
Back
Top Bottom