Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

But mkuu shem do you remember what biblical verses tell us kuhusu ndoa na kuachana? Samahani lakini sikukatishi tamaa unajua kimjini mjini kuolewa Sunnah!
Najua vizr bado biblia haikumaanisha kuolewa ni kutazamana tu...tutazaanaje sasa?..the same Bible imesema tuzaane na kuongezekata..sasa how can we multiply without sex? Acheni kucomplicate mambo..nikikuta Hana lolote sipotez hata muda wa kwenda hospt maana amenithibitishia yuko poa.
 

Wengine tulijitahidi sana kuilinda amri ya kutozini ila kama unavyojua miili hii ni ya nyama na udhaifu haukuumbiwa robot tukajikuta tumeanguka na kuendelea kuitonesha hii amri ya Mwenyezi Mungu...asikudanganye mtu mkuu ndoa is all about satisfaction,kuridhishana siyo kingine...na nyongeza katika hili ukiona ndoa iliyotulia tuli ujue mtu mume na mke walitoshana ujinga ujinga,yaana wana PHD ya u wehu kwenye mapenzi!
 
AKIKUPA UTAMCHOKA NA HUTAMUOA,, WANAUME HATUCHELEWI KUKINAI..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…