Je kuwaonea wivu Venezuela ni sawa! Utawala wao kama wetu tu?
Mimi ni bora tungekuwa kama Venezuela na kujenga nchi upya ya kidemokrasia kuliko kutawaliwa na watu kama tulionao na udikiteta wa kijinga jinga. Wizi na ufisadi , udini uliojaa , uzanzibari na ubara , utekaji na wizi wa kura. Ni mara 100 bora kuliko jehanamu ya Tanzania kwa sasa. Wenzetu wa Iraq tumeona malalamiko yote sasa hakuna maana ukienda Iraq leo ni nchi ina maendeleo sana kuliko zamani.