Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Mchakato wa kufanya manunuzi ya mali umma zipo wazi.
Kwa upande wa Halmashauri ni wazi kuwa lazima Baraza la Halmashauri husika likae na kupitisha matumizi pia kibali kutoka kwa wenye mamlaka kiruhusu.
Tunajua wazi kuwa halmashauri nyingi zina magari haya ambayo kwa sasa ndio yanaonekana ni anasa na gharama kwa wakurugenzi.
Jambo la kushangaza ni hatua ya serikali kuwanyag'anya wakurugenzi haya Ma v8 Gxr. Na nimeshangaa waziri Suleiman J kukomaa kana kwamba anataka kuua soo la kufanya manunuzi kwa ruhusa ya serikali kisha kuwabadilikia wakurugenzi.
Lakini swali la msingi, je wakurugenzi wakiporwa haya magari ndio kutafuta ukweli kuwa manunuzi yalipata baraka za wakubwa ila baraka hizo zilifanyika kimakosa?
Waziri Suleiman Jafo anataka kusema mpunga wa walipa kodi haujatumika kununua haya mav 8 Gxr? Au ndio mazingaombwe ya siasa za bongo?