Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ,Ahsante kwa ushauri.Kama juma moja limepita hivi nimenunua maziwa fresh shekilango Ubungo, nikarudi nyumbani nikayatia ndani ya jokofu. Kesho yake nikayachemsha kiasi yale maziwa nikayatia na kahawa ya kipakti. Nikiwa nakunywa nikawa nasikia harufu mbaya na ladha mbovu. Ila kwa kuwa nilikuwa nimemiss ghahawa nikanywa kiroho ngumu...
Yesu nakwambia. .Mkuu ,Ahsante kwa ushauri.
Uaminifu ni F mkuukwanini unaogopa mkuu?? Nini siri ya msimamo wako huu?? Tafadhali [emoji848][emoji848]
hahahha ,kwamba alinunua maji halafu akamwaga😂😂😂 kwa pesa ipi waliyonayo?? Makopo yanaokotwa majalalani then wanayasuuza na maji..ova🤔🤔Hivi wanaouziwa maziwa kwenye kopo la maji ya kunywa huwa akilini mwao wanawaza kuwa muuzaji alinunua maji akamwaga halafu kopo akauzia maziwa au alikunywa maji halafu ndio akawekea maziwa?
Siwezi nunua hizo zagazaga. Mara mia nije na kibebei changu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hahahha ,kwamba alinunua maji halafu akamwaga[emoji23][emoji23][emoji23] kwa pesa ipi waliyonayo?? Makopo yanaokotwa majalalani then wanayasuuza na maji..ova[emoji848][emoji848]
Ficha ujinga wakoWazungu hawanywi maziwa yaliyoharibika(wabongo tunaita maziwa ya mgando/mtindi)maana yameanza kuchacha....
Nyani tutastaarabika lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua "yogurt" ni nini!?Wazungu hawanywi maziwa yaliyoharibika(wabongo tunaita maziwa ya mgando/mtindi)maana yameanza kuchacha....
Nyani tutastaarabika lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ya kuitwa "Yoghurt" ni mavuzi au? Maana hao unaoita wazungu ndio waasisi wa hio bidhaa na ipo sababu wanaitumia sana tu huko kwao.Wazungu hawanywi maziwa yaliyoharibika(wabongo tunaita maziwa ya mgando/mtindi)maana yameanza kuchacha....
Nyani tutastaarabika lini?
Sent using Jamii Forums mobile app