Je, kuweka Limao kwenye maziwa ili yagande mapema kuna athari yoyote kitaalam?

Je, kuweka Limao kwenye maziwa ili yagande mapema kuna athari yoyote kitaalam?

Ile ya kuitwa "Yoghurt" ni mavuzi au? Maana hao unaoita wazungu ndio waasisi wa hio bidhaa na ipo sababu wanaitumia sana tu huko kwao.
hahahaha,mkuu mweleshe tu,pengine kasikia stori kwenye kahawa akapanda nayo uku😂😂... alijua maziwa mgando=rotten milk!!
 
Maziwa yanagandishwa na bacteria maalumu,,hii ya kuweka limao ni ku improvise ila hayana ubora kama maziwa yaliyogandishwa naturaly,hata radha ni tofauti
 
Hajui fermentation ikitokea kwenye maziwa ndio huwa yoghurt.
mkuu kwenye suala la ujinga tz bado sanaa.. kuna watu hadi leo wanahisi Mzungu yuko perfect sana than us african kiasi kwamba mwafrica mwenzetu anatuita "nyani".. very sad
 
Nakunywa mtindi wanaozalisha viwandani tu na si locally kitaa!! Asas, tanga, Kilimanjaro!! haya ya mtaani hapana!
 
Back
Top Bottom