hahahaha,mkuu mweleshe tu,pengine kasikia stori kwenye kahawa akapanda nayo uku๐๐... alijua maziwa mgando=rotten milk!!Ile ya kuitwa "Yoghurt" ni mavuzi au? Maana hao unaoita wazungu ndio waasisi wa hio bidhaa na ipo sababu wanaitumia sana tu huko kwao.
Hajui fermentation ikitokea kwenye maziwa ndio huwa yoghurt.hahahaha,mkuu mweleshe tu,pengine kasikia stori kwenye kahawa akapanda nayo uku๐๐... alijua maziwa mgando=rotten milk!!
mkuu kwenye suala la ujinga tz bado sanaa.. kuna watu hadi leo wanahisi Mzungu yuko perfect sana than us african kiasi kwamba mwafrica mwenzetu anatuita "nyani".. very sadHajui fermentation ikitokea kwenye maziwa ndio huwa yoghurt.
Nmemshangaa sana yani.mkuu kwenye suala la ujinga tz bado sanaa.. kuna watu hadi leo wanahisi Mzungu yuko perfect sana than us african kiasi kwamba mwafrica mwenzetu anatuita "nyani".. very sad
Hajui fermentation ikitokea kwenye maziwa ndio huwa yoghurt.
fellas...fellas....nilikuwa natania[emoji28]mkuu kwenye suala la ujinga tz bado sanaa.. kuna watu hadi leo wanahisi Mzungu yuko perfect sana than us african kiasi kwamba mwafrica mwenzetu anatuita "nyani".. very sad