Je, kwa De Agosto, Simba wamepiga bomu makaburini au mochwari?

Labda ungeuliza huko nusu fainali walikofika hao Agosto ni mwaka gani kabla hujahoji kitoto hivyo. Ila ukitaka kujua waweza kupata hizo data bila hata kuuliza na ungepata hizo data hilo swali usingeuliza . Jiongeze kidogo. Kwa nini hata kuangalii ranking yao katika CAF?
De Agosto semi final walifika 2018.
 
Nyie jitekenyeni tu.wenzenu wanakwenda makundi .wanakula mpunga.
Endeleeni kulalamika tu kuwa mmepangiwa timu ngumu.
Hapo hamjacheza na Al ahly Wala wamorocco .
Mimi naona Bora mtoke mapema kutuondolea aibu za kimataifa
 
Teh teh acha majungu mkuu
 
Back
Top Bottom