Je kwa deni hili, sheria inasemaje?

Je kwa deni hili, sheria inasemaje?

jamaa tangu aliniazima tsh 5,000,000 kwa riba ya kias flani kwa mwezi ili niingize katika biashara ila kwa bahat mbaya biashara ikafilisika kwa kutapeliwa....nkapoteza uwezo wa kulipa deni(principle+interest) jamaa akanivulia kwa miez kama 6 ndipo akaamua kunipeleka polisi!,polisi nliahd kulipa deni baada ya muda flani ila muda nilioahidi umeisha na pesa sijapata!!!je sheria inasemaje!
i.nkienda polisi bila hiyo pesa wataniongezea muda au ndio ntaekwa ndani
ii.je hili swala watapeleka mahakamani na je wakipeleka nitadhulikaje!
deni linaweza kuitwa deni tu kama umemlipa kidogo kati ya hizo pesa anazo kudai, lakin kama huajmlipa hata mia unaweza kubadilishiwa kesi ikaandikwa wizi wa kuaminiwa,hapo unaenda mahakamni na unaweza kufungwa,tafuta hata laki 2 umpe ili utoke kwenye danger zone tafadhali utaandikiwa wizi wa kuamniniwa na utafungwa!
 
Back
Top Bottom