jamaa tangu aliniazima tsh 5,000,000 kwa riba ya kias flani kwa mwezi ili niingize katika biashara ila kwa bahat mbaya biashara ikafilisika kwa kutapeliwa....nkapoteza uwezo wa kulipa deni(principle+interest) jamaa akanivulia kwa miez kama 6 ndipo akaamua kunipeleka polisi!,polisi nliahd kulipa deni baada ya muda flani ila muda nilioahidi umeisha na pesa sijapata!!!je sheria inasemaje!
i.nkienda polisi bila hiyo pesa wataniongezea muda au ndio ntaekwa ndani
ii.je hili swala watapeleka mahakamani na je wakipeleka nitadhulikaje!