Je, kwa hali hii Ardhi yangu imepotea?

Je, kwa hali hii Ardhi yangu imepotea?

Basi hapo faster ambadilishie kesi muuzaji ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, kwenye madai atapigwa mapema sana!!
Ni ngumu pia kuthibitisha madai hayo mahakamani.
Amefanya uzembe mkubwa ktk kushughulikia suala hili wakati wa mchakato wa ununuzi wa ardhi hiyo. Hakufanya utafiti wa kina (due diligence) kabla ya kuamua kununua ardhi husika.
 
Labda kama amtegee kupitia maongezi na msg ili ajenge ushahid wa awali kabla hawaja kwenda kwenye kesi ya msingi! Sema hiyo kazi si nyepesi sana,maana inabidi umjengee mtuhumiwa wako trust ili akuamini ili afunguke vizuri huku unakusanya ushahid wako!!
 
Kama hiyo ardhi haijapimwa unaweza kuclaim adverse possession kwa huo muda wa miaka 14 uliokuwa hapo
 
Back
Top Bottom