Je! kwa hali hii naruhusiwa kufanya EGM

Je! kwa hali hii naruhusiwa kufanya EGM

snag

Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
18
Reaction score
1
Nimesoma HGK, nikapata (B A D), Nikasoma BAED- History geography- miez 4 ilopita nimeajiliwa kama mwalimu.

LAKINI- O-level nilipata B hesabu na c jiograph: je naweza kuruhisiwa kufanya EGM bila kuathiri cheti changu cha HGK?
Nitapata BSC bila kuathiri BAED?
 
Back
Top Bottom