GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
We acha dhiaka huna akili debe tupu watu wanapitia Magumu wewe unaleta kejeli!!!Watani zangu sijui mmelikosea nini hilo Ziwa hakyanani. Mwaka 1996 mmekwazana nalo kwa Meli, leo tena kwa Bun'go na inaonyesha huko Mbeleni hata Mkoa wenu wote nao utazama mazima tu humo Majini.
Ni mkurya au mzanaki?Hakunaga mkurya mwenye akili zaidi ya Nyerere
Ndiyo uneamua Kututangazia Kazi na Biashara yako Kijanja Mkuu au? Nikuletee Wateja ili wafanye 'Pressing' Kwako kama ambavyo Club Africaine ya Tunisia tarehe 9 Novemba,2022 wataifanya kwa Tigo Pesa Wala Mihogo FC pale Jijini Tunis?Shoga we
Watani zangu punguzeni Dhambi sawa?Kweli we ni ng'ombe!
Sasa Mtu mzima tena Msomi hajui kuwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alikuwa ni Mzanaki na siyo Mkurya unadhani Kichwani ( Ubongoni ) mwake hakuna Maji Taka kweli?Ni mkurya au mzanaki?
Kumbe ajali ya Precision Air siyo halisi bali ni zoezi la uokoaji!.Watani zangu sijui mmelikosea nini hilo Ziwa hakyanani. Mwaka 1996 mmekwazana nalo kwa Meli, leo tena kwa Bun'go na inaonyesha huko Mbeleni hata Mkoa wenu wote nao utazama mazima tu humo Majini.
Kwahiyo hata Rais Samia hakujulishwa juu ya hilo Zoezi kiasi kwamba nae mapema tu ameshatuma Salamu za Pole?Kumbe ajali ya Precision Air siyo halisi bali ni zoezi la uokoaji!.
Anakula bata ugaibuniKwahiyo hata Rais Samia hakujulishwa juu ya hilo Zoezi kiasi kwamba nae mapema tu ameshatuma Salamu za Pole?
Acheni tu Wazungu watudharau Waafrika.