Je, kwa kitendo cha Mwijaku kuchukua fomu kugombea Uspika ni ishara ya ukuaji wa Demokrasia?

Je, kwa kitendo cha Mwijaku kuchukua fomu kugombea Uspika ni ishara ya ukuaji wa Demokrasia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua Misingi na Nidhamu ya Siasa na Utendaji wake.

Kuna Mambo 'yanakera' sana Tanzania.
 
Kwa maoni yangu utafiti mpya wa magonjwa ya akili ufanywe kwa huyu Rais anaehamasisha viongozi kutafuna nchi kwa staha na kujipimia rasilimali za nchi.
 
Yule Mwijaku ni mpuuzi, anapenda kutafuta attention za kijinga. Anapaswa kulambwa kitolea uchafu ili aache upuuzi kwenye mambo serious.
Jamaa anafanya mambo ambayo yanaonekana ya kipuuzi ila siku hizi mambo ya kipuuzi na uchawa inaelekea unalipa kuliko mambo ambayo tunahisi ni ya maana. Mfano, ni rahisi kwake kukutana na mkuu wa mkoa kuliko watu wengi.
 
Bongo toka uchaguzi mkuu uliopita uongozi ulishushwa hadhi na kuonekana kama ni kitu ambacho mtu yeyote anaweza kufanya.ule uzito wa dhamana ya uongozina hadhi yake ulipungua sana
Mkuu naona umesahau.
Vululu vululu za namna hiyo zilifanyika kwenye uchaguzi mkuu wa 2015.
 
Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua Misingi na Nidhamu ya Siasa na Utendaji wake.

Kuna Mambo 'yanakera' sana Tanzania.
Ukiambiwa Katiba imeoza inahitaji mabadiliko ni kwaajili ya Mambo kama haya.. kulitakiwa kuwe na mchujo wa Hali ya juu kumoata speaker wa Bunge sio watu walio vujisha video chafu nao wanapewa form hata kama wanachangia chama wanapotoa pesa kuchukua form.. bado huo ni upumbavu wa grid ya taifa..
 
[emoji2][emoji2][emoji2]Tanzania yetu[emoji1665]
 
Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua Misingi na Nidhamu ya Siasa na Utendaji wake.

Kuna Mambo 'yanakera' sana Tanzania.
Kama Ndugai ameweza kuwa Spika ni nani hawezi hiyo kazi ya Uspika?

Kwanza Mwijaku ana Cv kubwa iliyomvutia mpaka CEO wa Simba kumpa uteuzi.

Acha wivu, Uspika wa bunge hili la mahoka mtu yeyote yule anaweza kuwa.
 
Back
Top Bottom